KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO

KONFERENSI YA MASHARIKI-KATI MWA TANZANIA

KALENDA YA MATUKIO 2018

TUMEJITOA! KUHUSIKA KWA KILA MSHIRIKI

MWEZI

SIKU

TUKIO

MAHALI/WAHUSIKA

JANUARI

 

 

 

03

Jumatano

Ofisi kufunguliwa

Morogoro

03 – 13

J, Tano – Sabato

Siku kumi za kufunga na kuomba

Uamsho na Matengenezo

13

Sabato

Huduma za Afya

ECD

20

Sabato

Sabato ya msisitizo wa Uhuru wa dini

GC

20 – 29

Sabato – J,Tatu

Kuhamasisha Uwakili na Utawala wa mali za kanisa

Nyanda za Juu Kusini SHC

 

 

 

 

FEBRUARI

 

 

 

03

Sabato

Kuufikia Ulimwengu: Uinjilisti wa mtu mmoja mmoja

GC/ Huduma/ S. Sabato

10 –Mar 03

Sabato – Sabato

Mahubiri ya MAISHA HATIMAYE

ATAPE/Huduma/Uwakili

10 – 17

Sabato – Sabato

Nyumba ya Mkristo na Familia

GC – Kaya na familia

15 – 16

Alhamisi – Ijumaa

Mkutano wa wakurugenzi wa Konference Huduma za Wanawake STU na Huduma za Watoto

MOROGORO

17 – 24

Sabato – Sabato

Juma la Uwakili la Maombi

Division nzima

20 – 27

Sabato – Sabato

Shule ya Wainjilisti wa Vitabu - STU

Itaandaliwa

22 – 25

Alhamisi – J’tatu

Mkutano wa Wachungaji, Wazee wa Kanisa, Mashemasi

STU – MOROGORO

22 – 25

Alhamisi – J’pili

Mkutano wa Kimataifa Huduma za Ukimwi STU

STU – MOROGORO

MACHI

 

 

 

03

Sabato

Siku ya Maombi ya wanawake

GC/ Huduma ya wanawake

05 – 10

Jumatatu- Sabato

Semina ya Kuanzisha Chuo Kikuu

 

10

Sabato

Radio ya Waadventista Ulimwenguni

Konferensi Kuu/AWR

10 – 17

Sabato – Sabato

Kuhamasisha Uwakili na Utawala wa mali za kanisa

SEC & ECT kanda ya Dar

17

Sabato

Siku ya Vijana Ulimwenguni (Global Youth Day)

GC-YOUTH MIN

17

Sabato

Siku ya Watoto Ulimwenguni

GC – CHM

17 – 24

Sabato – Sabato

Juma la Maombi ya Vijana Ulimwenguni

GC – YOU

24

Sabato

Elimu ya Kikristo

ECD

18 – 25

Jumapili – J’pili

GAiN Tanzania

DARESALAAM

30 – April 1

Ijumaa – J’pili

Mkutano Mkuu wa Mwaka: ATAPE

MOROGORO

APRILI

 

 

 

02 – 04

Jumatatu – J’tano

Kuhamasisha Uwakili na Utawala wa mali za kanisa

Kanda ya Moro na Dodoma

06 – 08

Ijumaa – J’pili

Kuhamasisha Uwakili na Utawala wa mali za kanisa

Kanda ya Mtwara

06 – 15

Ijumaa – J’pili

Mkutano wa Pamoja wa familia na Watoto

SINGIDA

07

Sabato

Day of prayer and Fasting

Uamsho na Matengenezo

14

Sabato

Marafiki wa Tumaini (Sabato ya Wageni)

GC, Shule ya sabato/Huduma

14

Sabato

Kuhamasisha Utume

ECD

14 – 21

Sabato – Sabato

Juma la Wainjilisti wa VItabu

ECD

16 – 20

Jumatatu- Ijumaa

Kutulia Ofisini (Travel Moratorium)

Morogoro

21

Sabato

Siku ya kusambaza kitabu cha Utume

ECD

11 – 14

Jumatano-Sabato

Mkutano wa Watoto wa Wachungaji

SHC

18 – 21

Jumatano-Sabato

Mkutano wa Watoto wa Wachungaji

SEC

25 – 28

Jumatano-Sabato

Mkutano wa Watoto wa Wachungaji

ECT

28

Sabato

Siku ya kuhamasisha watu wenye mahitaji maalumu

GC

29 – May 05

Jumapili – Sabato

Mkutano wa AMR

MOROGORO

MEI

 

 

 

01 – 05

Jumanne – Sabato

Kambi la Uwakili

SEC KITUNDA

05

Sabato

Kuufikia Ulimwengu: Vyombo vya habari

Konferensi Kuu (GC)

07 – 12

Jumatatu - Sabato

Kambi la Uwakili

SHC RUKWA/KATAVI

09 – 11

J’tano – Ijumaa

Vikao vya Katikati ya Mwaka

Mbweni/Morogoro

12

Sabato

Sabato ya Wageni (TMI)

STU

05 – 26

Sabato-Sabato

Juma la kupinga Madawa ya Kulevya

Huduma za Afya

19 – 26

Sabato-Sabato

Juma la Afya (Sadaka itakusanywa)

Huduma za Afya

12 – June 02

Sabato-Sabato

Mikutano ya TMI (Mkutano wa Satelite Mwanza)     

STU

12 – June 02

Sabato-Sabato

Mpango wa kupanda makanisa 43

STU

12

Sabato

Kuufikia Ulimwengu: Matendo ya Huruma

GC- Huduma

26

Sabato

Siku ya Maombi kwa Watoto waishio mazingira magumu

GC Huduma za Watoto

JUNI

 

 

 

02

Sabato

Kujifunza Biblia/Shule ya Sabato/Masomo kwa njia ya posta

GC/ S. Sabato/Huduma

09

Sabato

Siku ya Wanawake

GC/ Huduma za Wanawake

11 – 16

Jumatatu-Sabato

Mkutano wa Wanawake

DODOMA

16

Sabato

Kuufikia Ulimwengu: Utunzaji na Urejeshaji wa washiriki wapya

GC – Shule ya Sabato/Huduma

16

Sabato

Siku ya Waadventista kuhusu Wakimbizi

Konferesi kuu (GC)

23 – 30

Sabato – Sabato

Kambi la Mafunzo kwa Watafuta njia na mabalozi

Itapangwa

JULAI

 

 

 

07

Sabato

Siku ya kufunga na kuomba

GC

02 – 05

J’tatu-Alihamisi

Kongamano la Wasichana

IRINGA

06 – 23

Ijumaa- Jumatatu

Mikutano ya TMI

CONGO/BURUNDI

14

Sabato

Kuhamasisha Utume

GC Utume Ulimwenguni

14

Sabato

Kuufikia Ulimwengu:Huduma ya vyombo vya habari

GC/ Idara ya Mawasiliano

26 – 29

Alhamisi-Jumapili

Kongamano la Huduma za Afya

DARESALAAM

28

Sabato

Sabato ya Watoto

GC- Huduma za Watoto

AGOSTI

 

 

 

04

Sabato

Uinjilisti wa Mahali papya

ECD

04 - 18

Sabato- Sabato

Elimu Matembezi - Uwakili

SOUTH KOREA

04 – 18

Sabato – Sabato

Mkutano wa mawasiliano (GAiN)

SOUTH KOREA

11

Sabato

Kuufikia Ulimwengu: Kupanda makanisa

GC ADVENTIST MISS

18

Sabato

Uinjilisti wa mahali papya

STU

18

Sabato

Siku ya Elimu

GC EDU

25

Sabato

Siku ya Kukomesha vitendo vya Ukatili

GC/Huduma za Wanawake

25

Sabato

Uinjilisti wa Walei

ECD

SEPTEMBA

 

 

 

01

Sabato

Siku ya Kusheherekea kujitoa kwa Vijana

ECD/Huduma za Vijana

02 – 08

Jumapili – Sabato

Juma la Kaya na Familia

GC/ Huduma za familia

08 – 22

Sabato – Sabato

Mikutano ya Injili ya Wainjilisti wa Vitabu (TMI)

STU

08

Sabato

Kuhamasisha Utume (Fursa za Pekee)

GC/Utume wa Waadventista

15

Sabato

Siku ya Watafuta njia

GC/Huduma za Vijana

22

Sabato

Sabato ya Wageni wa Shule ya Sabato

ECD/Shule ya Sabato

22 – 29

Sabato - Sabato

Mkutano wa Walei

Mbeya

30 –Okt  06

Jumapili -  Sabato

Kambi la Watu wenye mahitaji maalumu

Konferensi zote

OKTOBA

 

 

 

06

Sabato

Siku ya Kufunga na Kuomba

Uamsho na Matengenezo

06

Sabato

Uhamasishaji wa Gazeti la Adventsit Review

Konferensi Kuu (GC)

06 – 13

Sabato-Sabato

Kambi la Uwakili- Ifakara

Huduma za Uwakili

13

Sabato

Siku ya Kutambua Huduma ya Mchungaji

GC/ Huduma za Wachungaji

20

Sabato

Mwisho wa Juma: Huduma katika vyuo

GC/ Chaplensia

20

Sabato

Roho ya Unabii na urithi wa Kiadventsta

EG/Watunzaji wa Maandiko ya Ellen White

22 – 26

Jumatatu-Ijumaa

Kutulia Ofisini (Travel Moratorium)

Morogoro

27

Sabato

Sabato ya Uumbaji

Uuumbaji

NOVEMBA

 

 

 

03 – 10

Sabato-Sabato

Juma la Maombi

Konferensi Kuu (GC)

11 – 30

J’pili – Ijumaa

Vikao vya Mwisho wa Mwaka

MBWENI/MOROGORO

20 – 26

J’nne – J’tatu

Uinjilisti kwa njia ya Afya

ZANZIBAR/PEMBA

DESEMBA

 

 

 

02 – 10

Sabato – Sabato

Juma la Uwakili

ECD

10

Sabato

Uhamasishaji wa afya

STU

18 – 22

Jumapili –Sabato

Kongamano la Wainjilisti wa Vitabu

ECD

22 – 29

Sabato- Sabato

Juma la Uwakili

STU

22

Sabato

Kupambana na Janga la Ukimwi

ECD/Huduma za Afya