Tarehe 8 Oct 2022 Ilikuwa ni Sabato Maalumu Ya kutambua huduma ya mchungaji wa mtaa wa tegeta Pr, Peter E Shafi Wumini wa kanisa la Waadventista wa sabato Tegeta walitoa Zawadi za  ukarimu kwa mchungaji, pia familia mbali mbali zilijitokea katika furaha hiyo ya kutambua Huduma ya Mchungaji.