Hawa ni waanzilishi wa kanisa la Tegeta wakiwa na mchungaji Stephen Letta (kushoto) na wazee wa kanisa, siku ya uzinduzi wa kanisa jipya.