Ndoa hii baina ya ABOS DODELA NJOBE na FANIKIO GERALD BINGANA (wote washiriki wa Kanisa la Waadventista Tegeta) - ilifungwa kwenye Kanisa la Waadventista wa Sabato Bigara - Manyovu, Kigoma, Jumatano tarehe 22/7/2020, Saa 7:00 mchana, na Mchungaji FULGENCE MANGOSONGO. Mungu awape maisha marefu ya furaha.