Siku ya 7 ya maombi ya siku kumi na Pr PETER SHAFI SOMO : UJUMBE WA MALAIKA WA TATU, SABATO NA MAOMBI

Sabato ya tarehe 22/1/2022  ilikuwa ni sabato ya usajili wa wanachama ktika idara ya vijana, Na mhubiri wa siku hiyo alikuwa ni Mzee wa Idara ya vijana Elder JOSHUA FABIANI  Somo linasema: NGUVU YA VIJANA KATIKA UKUAJI WA KANISA.     


Kisa kutoka kwa Mwalimu na Mkuu wa Idara ya watoto katika Kanisa la Waadventista wa Sabato Tegeta, Mwl. UPENDO MAINGU