Somo la Nchi za Mbali Januari, 19, 2022 lililo tolewa na Elder Mbonea katika Sabato ya Usajili wa wanachama katika idara ya vijana



Mwongozo wa Kujifunza Biblia ulioongozw na Wainjilisti kutoka katika Kanisa la Waadvenntista wa Sabato Tegeta kupitia vyombo vya habari vya Kanisa la Waadventista wa Sabato Tanzania {TAMC} na katika upande wa Radio Morning Star, Kuanzia Januari 30 hadi Februari 2. SOMO LILIHUSU : YESU KUHANI MWAMINIFU



Mwendelezo wa Mwongozo wa kujifunza Biblia Februari 2 SOMO :  KWA MFANO WA MELKIZEDEKI



FEB 3 SOMO  :  KUHANI WA MILELE